Dazzle
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 214
- 56
Gari hii iko Dar na iko ktk hali nzuri sana.Gari ni ya mwaka 2000 na matumizi yake yamekuwa ya hapa mjini tu. Imetembea km 106,800 na ina vibali vyote. Bei yake ni 6.8, Angalia picha zake na kama uko serious wasiliana nami 0764458332