Picha ni muhimu wakuu
Mkuu sijui jinsi ya kuweka picha ila nimekuinbox au waweza nitumia number yako inbox
Quote then bonyeza vile vidot vitatu vya juu utapata option ya ku-attach picha, kisha unachagua picha toka kwny gallery yako unazimuvuzisha
Mkuu nashukuru sana