Toyota Rav4

Toyota Rav4

Iku

Member
Joined
Aug 22, 2007
Posts
15
Reaction score
1
Nauza Toyota Rav4 model ya 2002 three doors metalic silver marufu kama kilitime hatembei,ni pm kama uko intrested
 
tatizo nini mpaka haitembei tujuze kabisa kabla hatuja fanya mitikasi ya kuifuatilia,kuwa muwazi.
 
Nauza Toyota Rav4 model ya 2002 three doors metalic silver marufu kama kilitime hatembei,ni pm kama uko intrested

Mkuu hii kali, unauza gari halafu halitembei! ?
 
Nauza Toyota Rav4 model ya 2002 three doors metalic silver marufu kama kilitime hatembei,ni pm kama uko intrested

Toa details za kutosha ya mwaka gani,km ngapi imetembea,imeingia lini Tz,rangi gani,kwanini haitembei na bei gani yake,tunaweza tukajitosa kwenye kinyang'anyilo.
 
Nauza Toyota Rav4 model ya 2002 three doors metalic silver marufu kama kilitime hatembei,ni pm kama uko intrested

Ungesema unauza spea za Rav4 Model ya 2002
 
Ipo ya milango mitano ya mwaka 2002 registration BVK, Silver. Bei poa karibu na bure. 0656247324.
 
Kwani cha ajabu nini kaka, jamaa ameweka wazi hali ya gari kuwa haitembei, inatakiwa tu aeleze gari ina matatizo gani watu wafike bei!
Mkuu Kwako Hakuna cha Ajabu. Mkuu maelezo yake yalikuwa hayatoshi, angefafanua ina matatizo gani? Nilitaka aje aseme yeye lakini sio wewe kwa sababu hata wewe hujui kwanini halitembei.
 
Nauza Toyota Rav4 model ya 2002 three doors metalic silver marufu kama kilitime hatembei,ni pm kama uko intrested

weka picha na utueleze kwa nini haitembei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom