Toyota rav 4 mpya inauzwa

Toyota rav 4 mpya inauzwa

baba B

Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
30
Reaction score
3
Toyota rav 4
mwaka 2002
km 65000
rangi pale white
engine vvti
serious customers only call 0768570703/whatsap
 

Attachments

  • IMG-20140120-WA0004.jpg
    IMG-20140120-WA0004.jpg
    46 KB · Views: 542
  • IMG-20140120-WA0005.jpg
    IMG-20140120-WA0005.jpg
    53.6 KB · Views: 492
  • IMG-20140120-WA0002.jpg
    IMG-20140120-WA0002.jpg
    45.4 KB · Views: 465
  • IMG-20140120-WA0003.jpg
    IMG-20140120-WA0003.jpg
    67.7 KB · Views: 421
  • IMG-20140120-WA0001.jpg
    IMG-20140120-WA0001.jpg
    49.6 KB · Views: 433
Bei kiasi gani? Lakini usiite mpya (kwenye title). Hii sio mpya mkuu. Tuwekee bei lakini
 
aiseeee babayangu hii haita nifaa huku kwetu rombo naona hilo tipa hapo nyumba ndilo litanifaa kwani ni sh ngapi
 
Bei ni 23m only no dalali is needed.

Umesema shingapi?

Tafadhali useme kabisa kama ni fedha ya kitanzania au ya mugabe.

Rav4 mpya ya 2002???? Hivi huu ni mwaka gani??
 
Kwa bei hiyo itakuchinia, mark my words!

Jumaa pengine unapaswa kujua market price ya rav 4. Ziko rav 4 models tatu na zote ni bei tofaut ya kwanza ni 12 to 14 zinaishia mwaka 99 kuanzia hapo ni toleo jingine ambalo ni hili na bei yake ni 25 to 27m afu kuna toleo la 2005 au new model hiyo ni mpaka 60m. Just for update jumaa
 
Usikatishe watu tamaa wala kuwatisha na bei za ajabu ajabu..Fanya biashara acha tamaa
 
Kwa bei hiyo endelea kusubiri sana. Tofauti ya miaka 11 afu wewe unasema ni mpya.? Kweli wewe umetoka mboka manyema.
 
Jumaa pengine unapaswa kujua market price ya rav 4. Ziko rav 4 models tatu na zote ni bei tofaut ya kwanza ni 12 to 14 zinaishia mwaka 99 kuanzia hapo ni toleo jingine ambalo ni hili na bei yake ni 25 to 27m afu kuna toleo la 2005 au new model hiyo ni mpaka 60m. Just for update jumaa

Sasa inakuwaje useme ya mwaka 2002 ni mpya? Au mi ndo sijui maana ya neno 'mpya'?
 
Sasa inakuwaje useme ya mwaka 2002 ni mpya? Au mi ndo sijui maana ya neno 'mpya'?

Inaweza kuwa ya mwaka2002 na ikawa mpya ila kanichanganya aliposema imetembea kilomita elf60+ labda turudi kwenye Kamusi kujua nini maana ya neno MPYA
 
Naona umeipiga picha kinyemela ili tusijue kama ni mlango mmoja ama miwili.
 
Sasa inakuwaje useme ya mwaka 2002 ni mpya? Au mi ndo sijui maana ya neno 'mpya'?

Hahahah pengine bwana aspirin swala linalokukwaza ni neno mpya kama lilivyotumika. Lakini kuna concern moja tu katika ununuaj wa magari kwa hapa tanzania huwa tuna terminology za kugawa magari ktk makundi mawili kwa kuzingatia kuwa asilimia 95 ya magari yanayotembea hapa nchini yalinunuliwa katika masoko ya magari japan au dubai au uk au sehem zingine kama hizo yakiwa na hali ya kutumika huko. Na inapofika hapa likaanza kutumiwa na owner hapa tz mfano kwa mwaka na muda ukawa umesonga baso hilo kwa kibongo bongo tunaliita used na linapoingia na halijatumika hapa tanzania basi hilo tunaliita jipya kwa msingi si wa ziro km kutoka kiwandani bali ni kwa msingi wa kutumika hapa tanzania. Naamini wajua kuwa hata vits ambayo inauzwa 6m imported from japan basi ulipaswa kuinunua kwa dola 29000 kama ingekuwa ni straight from industry na ukawa the very first user after the technicians. Sasa basi kuhitimisha ningependa tafsiri ya mwaka 2002 izingatiwe kuwa ni mwaka wa gari kutengenezwa na kwa anayenunua magari ama aliyewah kununua magari analijua hili at first eye. Nawasilisha.
 
Kwa anayehitaj nimeweka namba yangu ya simu mwanzo wa post hii twaweza wasiliana au ni inbox
 
Back
Top Bottom