Mkuu mbona bei kaweka😕Bei gani mkuu
Weka price mkuu
Sasa we umeleta Uzi huu kwa dharau ?!
Ongezea Nyama aisee,TOYOTA RAV-4
YEAR 2002
ENGINE: VVTI
CC :1790
BEI: MIL 13.5
MAWASILIANO:0717760515
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Inaisha lini??Gari ipo Dar mkuu
Bima Compressive
Km 82000
Ngoja nikupe somo fupi la bima, ni faida kwako na wenzako. Gari unaponunua, bima inakuwa mwenye gari kama inavyoonyesha kwenye kadi ya gari. Hivyo basi, unaponunua gari kutoka kwa XXX na kwenda kubadilisha jina kwenye kadi ya gari kutoka XXX kwenda YYY (Jina lako), inabidi pia ukatie bima mpya gari lako kwani bima iliyopo ni ya XXX. Siku Ukipata majanga, ukipeleka claim insurer, yeye atakuruka na kusema ingawa gari ni lile lile ila mwenye bima ni XXX sio wewe wa YYY. Tuwe makini. Usiku mwema.Inaisha lini??