Natumia raum 1999, ina nafasi ya kutosha angalau, injini yake ni poa sana, hasa ukiipata ikiwa hali ya grade 4 au zaidi. Tangu nimeinunua 2011, haijawahi kupata mechanical au problems zozote, nadunda tuu, kila siku barabarani; safari fupi na ndefu-Mbeya-dar-mbeya, SO tu me ni gari nzuri, mwakani nauza natafuta nyingine design hiyo hiyo!