Wee mwenyewe hujaonyesha kujishuhulisha vya kutosha na kitu unachotaka...
Umeshindwa hata kuweka picha tu..?!
Nakushaur, weka picha na spec zake, hata kama chache tu, pamoja na Bei uliyoiona huko unakotaka kuagiza hiyo gar, watu watakupa ushaur wa kutosha, ukiwemo aina nyingine ya gar yenye kufanana na hiyo.