Toyota Ractis vs Toyota Will VS au Toyota Vitz Rs

Mkorintho

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
594
1,141
Wakuu Salaam !!
Ushauri wa kiufundi as far as upatikanaji wa spare unahusika kwa hayo magari tajwa hapo juu, kati ya Toyota Ractis, Toyota Vitz ama Toyota Will VS zote zenye Engine Capacity CC 1290. Nini matatizo yake 'common' if any kwa kila model? Msaada tutani
 
Will VS zipo za 1490cc na 1794cc. Hiyo 1290cc labda ni Will VI. Will VS (1794cc) spares zake zinaingiliana na magari mengi tu ya Toyota, sijawahi pata changamoto yoyote ya spare. Engine yake ni 1ZZ-FE na kuna 2ZZ-FE, ya kwanza ni for fuel economy, ya pili ni for performance. Ya 1ZZ mafuta hasa kwenye foleni ni 8-10km/lita. Ila ukivunja taa huo ndio utakuwa mziki mnene, kuwa makini na mashimo hasa bumper la mbele.
 
Wakuu Salaam !!
Ushauri wa kiufundi as far as upatikanaji wa spare unahusika kwa hayo magari tajwa hapo juu, kati ya Toyota Ractis, Toyota Vitz ama Toyota Will VS zote zenye Engine Capacity CC 1290. Nini matatizo yake 'common' if any kwa kila model? Msaada tutani
Toyota RACTIS wenzake ni Land cruiser VX V8 kwa mbio.
Tofauti tu ni RACTIS inachomoka haraka, Inatumia mafuta kidogo, na inabalance na cc ndogo. Lakin kwa speed RACTIS n kiboko ya baby walker zote.
Ione hivyo hivyo tu
 
Mahaba Niue. Ractis hats VG golf gt hatii mguu sio mkuu
 
Toyota RACTIS wenzake ni Land cruiser VX V8 kwa mbio.
Tofauti tu ni RACTIS inachomoka haraka, Inatumia mafuta kidogo, na inabalance na cc ndogo. Lakin kwa speed RACTIS n kiboko ya baby walker zote.
Ione hivyo hivyo tu
acha ujinga ww
ractis na probox ist premio spacio porte NI SAWA
 
Nijuavyo mimi gari nyingi za toyota hasa gari ndogo zinavaliana spear parts kwa kiasi kikubwa...yaani huwezi miliki gari za toyota ukawaza spea..
hapo la msingi ni wewe mwenyewe kuangalia macho yako yanapendezwa na gari yenye umbo lipi.
 
Back
Top Bottom