kamata kitu mkuu,presidential brand hiyo mkuu!
mkuu, sijawahi kuitumia hii gari ila nimejaribu kuangalia naona ni gari yenye engine kubwa nilizo ziona ziko kati ya 2500-3000!kwa ukwaba huo yabidi kujipanga sana kwani mafuta itakuwa inakunywaaaa!sasa mkuu nitakamata tu bila kujua magharama mengine (running cost) ... Infact hii kitu siijui kabisa so kama una data kidogo msaada tafadhali
mkuu, sijawahi kuitumia hii gari ila nimejaribu kuangalia naona ni gari yenye engine kubwa nilizo ziona ziko kati ya 2500-3000!kwa ukwaba huo yabidi kujipanga sana kwani mafuta itakuwa inakunywaaaa!
Toyota Progres hii gari nimetokea kuikubali sana, lakini sijui upatikanaji wa spare parts zake ukoje na fuel consumption zake sijui ukoje .. Kwa mwenye kuijua naomba anipe darasa kidogo maana nataka kuivuta mambo yakienda sawa...
View attachment 140290