Kwa uchumi wa sasa hiyo bei ifanyie review ili iendane na the real situation
Ndio maana wengine tumemtakia mauzo mema...Uchumi wako hauna uhusiano na bei za gari. Hiyo gari inaonekana ni imported ushuru 5m+, cif 3000 usd~6.5m+, port charges plus agency fee 1m+ so sio chin ya 12.5m-13.5m sasa ww unataka gari nzuri alafu unawaza uchumi si uachane nayo ununue inayokufaa
Sure. Ni bei halali kwa condition ya gari hiikama unajua magari ni bei ya kawaida na its reasonable
Umesema vizuri, hiyo gari huwa naipenda Sana, kwa bei hiyo Ni reasonable kabisa, wakati ukifika nitanunua Premio, I know it nimendesha sanaUchumi wako hauna uhusiano na bei za gari. Hiyo gari inaonekana ni imported ushuru 5m+, cif 3000 usd~6.5m+, port charges plus agency fee 1m+ so sio chin ya 12.5m-13.5m sasa ww unataka gari nzuri alafu unawaza uchumi si uachane nayo ununue inayokufaa