KabisaIngekua nyumba tungesema ni pagala.
Ila kwakua ni gari tuseme ni "Mkweche" ama "mkangafu"
😂😂😂 dah!Kula 5m faster
Gari imekula nchi sana, number B ni zaidi ya miaka 8😂😂😂 dah!
14mil mpaka 5mil mkuu.
Hakika mkuu,Ila huu mzigo una heshima yake.Yaani ukipata nao Road utahisi Dunia yakoGari imekula nchi sana, number B ni zaidi ya miaka 8
Ila bro 1KZ hiyo tusiidharau,mwenye gari hiyo ana uhakika wa safari zaidi ya mwenye Spacio New au Raum New yenye #D.Ingekua nyumba tungesema ni pagala.
Ila kwakua ni gari tuseme ni "Mkweche" ama "mkangafu"
Na cheka cmnt za Vijana humuIla bro 1KZ hiyo tusiidharau,mwenye gari hiyo ana uhakika wa safari zaidi ya mwenye Spacio New au Raum New yenye #D.
#B inaonekana bado smart hivyo kwa uelewa wangu bado iko vizuri japo inaonekana imetoka rangi.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mkuu huo mzigo hata ukipata wa namba A au TZ A bado ni mashine kuliko Raum ya namba DQ..Gari imekula nchi sana, number B ni zaidi ya miaka 8
Usilete dharau kwny biashara ya Mwenzio.Ingekua nyumba tungesema ni pagala.
Ila kwakua ni gari tuseme ni "Mkweche" ama "mkangafu"
Kazi kweli kweli....
Kuna mtu wa mkoani kamrushia mmiliki 500000/ kaizuia baada ya mtu wke kufanya ukaguzi.......kesho kutwa anakja kumaliza kbsaNmejaribu kufuatilia sana,
Hizi gari za Engine kubwa above 3000cc
Wengi wenye nazo hawazitembelei Mara kwa Mara kutokana na fuel consumption yake kua juu.
Kwahiyo,
Hata kama bado ni Namba A au B, bado unaweza kuikuta ktk ubora wa hali ya juu.
Tofauti na hizi gari zenye engine Ndogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu wa mkoani kamrushia mmiliki 500000/ kaizuia baada ya mtu wke kufanya ukaguzi.......kesho kutwa anakja kumaliza kbsa
Shida humu filimbi nyingi sanaaaaa
Hata ukiwawekea Gari ya mln1 watapiga kelele....nshawazoeaa lkn
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila bro 1KZ hiyo tusiidharau,mwenye gari hiyo ana uhakika wa safari zaidi ya mwenye Spacio New au Raum New yenye #D.
#B inaonekana bado smart hivyo kwa uelewa wangu bado iko vizuri japo inaonekana imetoka rangi.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ndo nini iyo Raum ama Spacio ndo taka taka gani?Mkuu huo mzigo hata ukipata wa namba A au TZ A bado ni mashine kuliko Raum ya namba DQ..
Acha dharau kijanaNdo nini iyo Raum ama Spacio ndo taka taka gani?