Hapo nimekuelewa mkuu. Contact nimeweka hapo juu mwanzoni mwa thread. Unaweza kunipigia au sms ama ukaja PM, unieleze una kiasi gani, ili tuongee. Hakuna kinachoshindikana.ok swali limelenga
1 gari haina shaka - maan na picha umeweka labda mtu afanye fujo tu
2 je Bei unaanzia ngapi ku bargain?
3. contacts ? au PM hapa hapa?
....ulitaka lipakwe poda....?Mbona limepakwa rangi mkuu
Mkuu kwa picha inaonekana rangi imerudiwa pili kwa namba D km laki mbili huwezi kuagiza labda ujui mambo ya magari maana cif ni usd 5000 hadi 7 je ushuru usd 9000 we acha utani na magari labda wewe ni dalali na ujui imeagizwa wapi bottom line.Imenunuliwa Japan moja kwa moja. Haina historia ya ajali.