Ndio hicho kitu nasema sidhani kama kinawezekana kuwa na Landcruiser kubwa kama Prado ukakuta lina 4 Cylinder.
Na kama ipo, engine ya 4 Cylinder kuvuta Prado itakuwa haina nguvu, utakuta inalazimika kutumia mafuta yale yale kama 6 cyl.
Kwa nini usi consider Prado ya diesel? Again, kama lengo ni ku save kwenye mafuta.
mkuu usipotoshe watu, 90% ya prado unazoziona mtaani zina 4 cylinders....,engine pekee yenye six cylinder kwaajili ya prado ni VZ series..hasa 5VZ. ....izo TR engine series, RZ series, 1kz, 5l, 3L zote ni 4 cylinder....iwe ya diesel au petrol. ....prado its a light landcruiser, haina nguvu kama mkonga inayotumia 1HZ. ni cruiser kwaajili ya matumizi ya kawaida tu. safari za hapa na pale na sio kwendea porini. na huwa inaingiana sana engine na toyota hilux
....ni 4cyl tu nguvu ni zaidi ya vicruza vya 1HD zenye 6cly hata kusepa kufika 100 linaizid cruza lx hizi
Mafuta inakula km ngapi kwa litaNenda na 3RZ iko vizuri sana kwenye kula mafuta,hata maintanance yake haisumbui...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani jamaa hajui 3rz vizuri,, ikijitahidi sana ni 7.5 km hiyo 1GR v6 inakula vzr kuliko 3rz 1gr Unaweza kupata hata km9Mafuta inakula km ngapi kwa lita
1GR engine pendwa ya Toyota...Tangu 2002 iko mzigoni. Ameiamini kuifunga mpaka kwenye flag ship yake Landcruiser 300 series . Bonge moja la engine.Nadhani jamaa hajui 3rz vizuri,, ikijitahidi sana ni 7.5 km hiyo 1GR v6 inakula vzr kuliko 3rz 1gr Unaweza kupata hata km9
Inajiweza sana hiyo engine1GR engine pendwa ya Toyota...Tangu 2002 iko mzigoni. Ameiamini kuifunga mpaka kwenye flag ship yake Landcruiser 300 series . Bonge moja la engine.