Habari zenu wadau,
Nataka kununua gari kati ya hayo niliyotaja hapo juu ila kwa sababu ndio mara yangu ya kwanza kuwa na gari naomba mnisaidie which is the best among the two cars.
Budget yangu ni milion 9 na ninataka kuagiza moja kwa moja kutoka Japan.
Naombeni ujuzi wenu kuhusu hizo gari