Mavindozii JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 2,110 Reaction score 2,786 Feb 17, 2018 #1 Hello Wana JF natumaini mnaendelea vizuri Kwa uwezo wake muumba Wetu aliye mkuu, Nina Toyota Noah Voxy Nauza iko Arusha mjini .Bei yake Ni 8milion iko safi haijawahi kupata ajali ,mwenye kuhitaji please PM
Hello Wana JF natumaini mnaendelea vizuri Kwa uwezo wake muumba Wetu aliye mkuu, Nina Toyota Noah Voxy Nauza iko Arusha mjini .Bei yake Ni 8milion iko safi haijawahi kupata ajali ,mwenye kuhitaji please PM
mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,469 Feb 17, 2018 #2 Nanii weeeee Haya ngoja waje tu
M Mtaita2 Member Joined Aug 7, 2017 Posts 15 Reaction score 8 Feb 17, 2018 #4 Usidanganye watu. Hilo gari haliwezi kuwa Toyota Noah Voxy kwa wakati mmoja. Ni Noah au ni Voxy basi
mavado JF-Expert Member Joined Jun 25, 2014 Posts 1,153 Reaction score 801 Feb 17, 2018 #5 Hii ni number gani boss, mana hiyo chuma bei ya kuagiza mupya kabisa hapa kwa baba j ni kuanzia 10-12m hapo
Hii ni number gani boss, mana hiyo chuma bei ya kuagiza mupya kabisa hapa kwa baba j ni kuanzia 10-12m hapo
Mavindozii JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 2,110 Reaction score 2,786 Feb 18, 2018 Thread starter #7 Tareeq said: Bei please Click to expand... 8milion mkuu
Mavindozii JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 2,110 Reaction score 2,786 Feb 18, 2018 Thread starter #8 Mtaita2 said: Usidanganye watu. Hilo gari haliwezi kuwa Toyota Noah Voxy kwa wakati mmoja. Ni Noah au ni Voxy basi Click to expand... Toyota Voxy .mkuu
Mtaita2 said: Usidanganye watu. Hilo gari haliwezi kuwa Toyota Noah Voxy kwa wakati mmoja. Ni Noah au ni Voxy basi Click to expand... Toyota Voxy .mkuu