Toyota Noah inauzwa

Toyota Noah inauzwa

Ukiwa mtoto wa mjini msumari utajuaaaa ni ni
Maana ya misumari

Ova

Kweli msumari umetulia...ila kwa usawa huu hyo bei mmmhh...nilikuwa nimeplan kumnunulia bi mkubwa Noah yupo kijijini..

Ngoja nizichange nitakutafuta mkuu...naona una misumari kweli.
 
Hii nshauzaga muda kwanza

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom