Toyota Noah Inahitajika Haraka.

Toyota Noah Inahitajika Haraka.

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,876
Reaction score
29,648
Habari wakuu

Gari tajwa hapo Juu inahitajika,.

Iwe katika hali nzuri

Isiwe imepata ajali au matatizo yoyote

Namba za usajili zianze na C,...

Offer yangu Milioni 7

Karibu.
 
Habari wakuu

Gari tajwa hapo Juu inahitajika,.

Iwe katika hali nzuri

Isiwe imepata ajali au matatizo yoyote

Namba za usajili zianze na C,...

Offer yangu Milioni 7

Karibu.

Ongeza 2 nikupe kitu cha uhakika, namba CK...
 
Angalia kwenye mtandao wa www. zoomtanzania.com utazikuta nyingi tu ila price uliyoisema mnazungumza na muuzaji na unaweza kupata kwa price hiyo uliyoisema.
 
Mil 8.5 check kwa 0717022737
 

Attachments

  • 1405709361039.jpg
    1405709361039.jpg
    70.8 KB · Views: 148
  • 1405709422268.jpg
    1405709422268.jpg
    72.1 KB · Views: 121
dah mimi bado najikusanya ila nimeipenda sana, i wish mwezi wa 9 nitachukua hiyo gari bajeti mil 8 cash
 
Unataka new model au old?kwa hyo bei na herufi ianzie c!WAWEZA ANGAIKA SANA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom