mgusi mukulu
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 715
- 682
Millage 57837 kilometer , model 1999, CC 1990 ,3C,motor vehicle na insurance vinaisha 3-10-2014 gari ipo dar...
price: 6,000,000 maongezi yapo kwa anayehitaji ......call me 0716805201.
Je kwanini unaiuza? ina tatizo lolote la kiufundi au ni shida tu za kidunia zinakufanya utake kuiuuza........
Haina maslahi oldonyomkuu kamata 4.5m kama utakuwa tayari nichek kwa 0758954181
kama imetulia vile.. na hii M 5 pia kina eleweka?Millage 57837 kilometer , model 1999, CC 1990 ,3C, 4cylinder ,motor vehicle na insurance vinaisha 3-10-2014 gari ipo dar...
price: 6,000,000 maongezi yapo kwa anayehitaji ......call me 0716805201.
mkuu ongeza kidogo uchukue mzigokama imetulia vile.. na hii M 5 pia kina eleweka?
hiyo nadia ina cc ngapi?na engine yake ni D4 au?
Picha Mbona Hujaweka? Au Sm Yangu Ndo Haionesh Picha?