Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Mkuu nina 4.3m
Hailipi. Huwez pata hii gari kwa bei hyo. Get reasonable.
Weka bei sasa
Million 11.
Million 11.
11?? Nani alikuambia ununue Gari kabla ya kujenga?? Unataka ununue Gari 5m uuze 11, this can't be a business, kama ni kujenga chukua mkopo mkuu
huyo aliyekupa 4.3m kajilipua sana. value ya huo mchuma kwa sasa ni 3m.
utumiaji wake wa wese umekaaje name in CC ngapi?
kwa hiyo bei utakesha!
11?? Nani alikuambia ununue Gari kabla ya kujenga?? Unataka ununue Gari 5m uuze 11, this can't be a business, kama ni kujenga chukua mkopo mkuu
Ichome moto kama ina bima kubwa watakupa hyo pesa unayoitaka kama umeithaminisha hvo mkuu
Umemshauri vizuri, alafu alichome moto akiwa amejifungia huko ndani ya Gari