Professional Trader
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 1,220
- 1,122
Mkuu iyo Gari kama upo interest njoo nkupe maelezo yakeWeka bei hapa, acha woga, halafu maelezo hayajitoshelezi mkuu. Ichambue hiyo gari tuijue.
Amna mkuu iyo picha tuu ipo vizur tuTatzo huo mgari mrefuuuu alafu upo chini waii
Karibu mkuu uiwahiNaona imetakata kiongozi......Ngoja tukufuate huko uliko
Mwanangu wewe unajua business kweli....maana kwa mwingine najua angejibu mbovu kwa swali ilo, big up sana ngoja nitakuunga na mtu.Amna mkuu iyo picha tuu ipo vizur tu
Ipo mkuu tena iko vizur sana tu yanNitafutie Toyota voltz
Kwani ukiyaandika maelezo yake hapo juu kuna shida bro?Mkuu iyo Gari kama upo interest njoo nkupe maelezo yake
Toa bei bro mengine yafuateMkuu iyo Gari kama upo interest njoo nkupe maelezo yake
Ok.nipe contract tufanye biasharaIpo mkuu tena iko vizur sana tu yan
OK nipe contact tufanye biasharaIpo mkuu tena iko vizur sana tu yan
0688624299 contactOk.nipe contract tufanye biashara