Mark II iliyotumika hapa bongo inakuwa kwenye Hali Fulani sio nzuri Sana na itakubidi utie pesa ya matengenezo pia unahitaji kuwa fundi wa kukagua mfumo wa umeme , engine na gear box.
Ila kama unanunua kutoka Japan aisee unafurahia Sana maisha , Hii gari Toyota walituliza Sana Akili