MIMI NA TZ Senior Member Joined Apr 22, 2014 Posts 197 Reaction score 18 Dec 18, 2014 Thread starter #41 Zanzibar Spices said: Beri ni nzuri kwa gari hiyo,maana kama sikosei ni Six hiyo. Halafu usiombe gari iandikwe inauzwa kama ilivyowekwa hiyo makaratasi,yaani huwa inakaa muda kweli haijapata mteja sijui kwanini Click to expand... Hapana hii Gari ni 4 sio 6 ,yani mafuta hapo inanusa haitumii mafuta kabisa
Zanzibar Spices said: Beri ni nzuri kwa gari hiyo,maana kama sikosei ni Six hiyo. Halafu usiombe gari iandikwe inauzwa kama ilivyowekwa hiyo makaratasi,yaani huwa inakaa muda kweli haijapata mteja sijui kwanini Click to expand... Hapana hii Gari ni 4 sio 6 ,yani mafuta hapo inanusa haitumii mafuta kabisa
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,353 Reaction score 13,458 Dec 18, 2014 #42 MIMI NA TZ said: Hapana hii Gari ni 4 sio 6 ,yani mafuta hapo inanusa haitumii mafuta kabisa Click to expand... Hapa tayali umeharibu,haitumii mafuta kabisa?kwa hiyo inatumia maji?
MIMI NA TZ said: Hapana hii Gari ni 4 sio 6 ,yani mafuta hapo inanusa haitumii mafuta kabisa Click to expand... Hapa tayali umeharibu,haitumii mafuta kabisa?kwa hiyo inatumia maji?
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,013 Reaction score 10,417 Dec 19, 2014 #43 MIMI NA TZ said: Hapana hii Gari ni 4 sio 6 ,yani mafuta hapo inanusa haitumii mafuta kabisa Click to expand... Basi kama ni 4 utaiuza,labda iwe na magumashi mengine
MIMI NA TZ said: Hapana hii Gari ni 4 sio 6 ,yani mafuta hapo inanusa haitumii mafuta kabisa Click to expand... Basi kama ni 4 utaiuza,labda iwe na magumashi mengine