Toyota Mark II kwa TZS 7m/= tu

Toyota Mark II kwa TZS 7m/= tu

masalapa

Senior Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
139
Reaction score
68
Kwenu wadau,

Nauza gari langu aina ya Toyota Mark II kwa bei ya 7m/= tu.
Mileage: km 98,000
Transmission: Automatic
Year: 1998
Engine Capacity: 1800cc
Fuel Consumption: 9km/ltr
Car condi
 
bei ya gx 100..hiyo siju gx90 jombaaa....
 
hahahaa, hilo gari umetumwa na mtu kuuza bei hiyo au ndy umeweka maji ya 4M?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom