Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 622
anyway gud luck....wese now zaidi ya 2000 per galon
utaishi maisha haya ya kuogopa kila ki2 mpaka lini?? Wewe ndo huna hiyo 2000, wenzio wanazo...kama haujavutiwa sio lazima uchangie uzi huu!!!!!!!!anyway gud luck....wese now zaidi ya 2000 per galon
una kaa nya gwa nini? ina maana hukuelewa nimeandika nini?utaishi maisha haya ya kuogopa kila ki2 mpaka lini?? Wewe ndo huna hiyo 2000, wenzio wanazo...kama haujavutiwa sio lazima uchangie uzi huu!!!!!!!!
around 16milKwani ikiwa ukiikuta kwenye yard unaipata kwa shiling ngapi wandugu
around 16mil
,kwi kwi kwi kwi,hajakuelewa bro,akikuelewa atakausha tu,mchunie,may b wakuja huyo
Nope!!!Vp je ina tatizo lolote ilishapa ajali yoyote ya kuitaji kunyooshwa?
Nope!!!!!!Vp je ina tatizo lolote ilishapa ajali yoyote ya kuitaji kunyooshwa?
yah man, maelewano yapo kama uko seriousvp iyo bei inashuka mzee?