FLAVOR
Senior Member
- Jun 13, 2012
- 138
- 49
Nauza Toyota mark ii cresta baloon yenye 4S engine iko kwenye hali nzuri kabisa.
Engine Safi, Body haijawahi kuguswa na mkono wa fundi rangi, inarangi ya grey. Gari hii ilikuwa inatumiwa vizuri.
Haina kutu, na huko chini hakuna cha kubadilisha, unanunua na kuanza kutumia.
Mawasiliano 0719206920.
Njoo na fundi kwaajili ya ukaguzi.