Toyota mark II (1996) for sale

Toyota mark II (1996) for sale

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,684
Reaction score
12,450
Gari lipo kwenye hali nzuri.Imetembea km 190000.6 cyl.
Lipo Arusha.
Bei. 3,500,000/
Call 0768008272
IMG_20140714_163805.jpgIMG_20140714_163648.jpgIMG_20140714_163514.jpgIMG_20140714_163538.jpg
 
Watu wa ubaruku mpo?

Niliona wanazitumia sana. Hawajali 6 cyl au 4.

Kila la heri mkuu, lakini je halidaiwi TRA? Kadiria 15341
 
biashara nzuri mkuu hebu toa taarifa zaidi za hii gari inaweza tembea frm arusha mpaka dsm?na kwa ulivoitumia itakula mafuta kias gan mpaka ifike dsm?nijuze hayo mkuu kabla sijaamua kitu pia kama tra hawana shida nayo
 
Namba zipo hapo mkuu kwa mawasiliano zaidi.
 
biashara nzuri mkuu hebu toa taarifa zaidi za hii gari inaweza tembea frm arusha mpaka dsm?na kwa ulivoitumia itakula mafuta kias gan mpaka ifike dsm?nijuze hayo mkuu kabla sijaamua kitu pia kama tra hawana shida nayo
Dar linafika bila shida,na inatumia mafuta vizuri 1 lt kwa 10 km hivi.Kama upo serious wasiliana na namba ya cm hapo juu
 
Bei nakushauri ungeweka hivi, 3.5m yako then tra inabidi kulipia 1.45m, jumla 4.95m
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom