Toyota landcruiser prado inauzwa

Toyota landcruiser prado inauzwa

Interested

Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
12
Reaction score
5
TOYOTA LANDCRUISER PRADO INAUZWA
Year: 2011/9
Mileage: 38000km
Options: Digital TV Push start
CC: 2700
Fuel: Petrol
Color: Black
Transmission: FAT
Location: Japan (inachukuwa siku 23 hadi 30 kutoka Japan hadi Dar)
Price/Bei: Tsh milioni 100 inajumuisha/includes:
>Ukaguzi/inspection
>Usafiri/shipment
>Bima/insurance
>Import duty
>Excise duty
>VAT

Mawasiliano: Whatsapp: +1 213 285-9631
 
Attachments

  • f.jpg
    f.jpg
    35 KB · Views: 542
  • r.jpg
    r.jpg
    33.7 KB · Views: 522
TOYOTA LANDCRUISER PRADO INAUZWA
Year: 2011/9
Mileage: 38000km
Options: Digital TV Push start
CC: 2700
Fuel: Petrol
Color: Black
Transmission: FAT
Location: Japan (inachukuwa siku 23 hadi 30 kutoka Japan hadi Dar)
Price/Bei: Tsh milioni 100 inajumuisha/includes:
>Ukaguzi/inspection
>Usafiri/shipment
>Bima/insurance
>Import duty
>Excise duty
>VAT

Mawasiliano: Whatsapp: +1 213 285-9631

Mkuu, una kampuni Japan? Una wakala Dar?
Najaribu kuwaza mtu akinunua transaction zitakwendaje ili kuepuka ugonjwa wa moyo kwa mteja na kwako pia, maana tayari kuna kampuni za Japan na ndugu zetu wa UK waliokwishajijengea uaminifu, upande wako inakuwaje kaka?!
 
Mkuu, Wakala yupo na kampuni ipo. Pia unaruhusiwa kumtumia wakala wako yoyote unayemuamini yeye atawasiliana na mimi.

Asante
 
TOYOTA LANDCRUISER PRADO INAUZWA
Year: 2011/9
Mileage: 38000km
Options: Digital TV Push start
CC: 2700
Fuel: Petrol
Color: Black
Transmission: FAT
Location: Japan (inachukuwa siku 23 hadi 30 kutoka Japan hadi Dar)
Price/Bei: Tsh milioni 100 inajumuisha/includes:
>Ukaguzi/inspection
>Usafiri/shipment
>Bima/insurance
>Import duty
>Excise duty
>VAT

Mawasiliano: Whatsapp: +1 213 285-9631

Mie nimependa ukweli kuhusu odometer, siyo yule jamaa anayesema gari ya 2004 odometer 6497 namba ya gari T ---ATN
 
TOYOTA LANDCRUISER PRADO INAUZWA
Year: 2011/9
Mileage: 38000km
Options: Digital TV Push start
CC: 2700
Fuel: Petrol
Color: Black
Transmission: FAT
Location: Japan (inachukuwa siku 23 hadi 30 kutoka Japan hadi Dar)
Price/Bei: Tsh milioni 100 inajumuisha/includes:
>Ukaguzi/inspection
>Usafiri/shipment
>Bima/insurance
>Import duty
>Excise duty
>VAT

Mawasiliano: Whatsapp: +1 213 285-9631
hii gari inauzwa na SBT JAPAN FOR $32,050 CIF, DSM. PAMOJA NA USHURU HAIZIDI M75
 
Wabongo kwa kupenda ubwete sasa wewe gari ya sbt unataka upige cha juu milioni 25, kwa kazi ya ku surf kwenye net tu tena kwa dakika zisizozidi 10.
 
mkuu, sbt ndiyo kampuni unayofanya nayo kazi? mbona tofauti ya bei kubwa sana?

Tofauti yake ni ngapi? hii gari ushuru wake tu ni asilimia 54.

hii gari inauzwa na SBT JAPAN FOR $32,050 CIF, DSM. PAMOJA NA USHURU HAIZIDI M75

Weka calculations tuone kama haizidi mil 75 na ikiwa kweli haizidi mil 75 utakuwa umeshinda.

Wabongo kwa kupenda ubwete sasa wewe gari ya sbt unataka upige cha juu milioni 25, kwa kazi ya ku surf kwenye net tu tena kwa dakika zisizozidi 10.

Unaruhusiwa kununua kokote unakoona bei ni nzuri.
 
Tofauti yake ni ngapi? hii gari ushuru wake tu ni asilimia 54.

Weka calculations tuone kama haizidi mil 75 na ikiwa kweli haizidi mil 75 utakuwa umeshinda.

Unaruhusiwa kununua kokote unakoona bei ni nzuri.

unafanya kazina sbt mkuu? kwa maana mtu akitupia pesa kwenye akaunti ya sbt wewe unamaliza mambo yote?
 
unafanya kazina sbt mkuu? kwa maana mtu akitupia pesa kwenye akaunti ya sbt wewe unamaliza mambo yote?

Ukihitaji kununua nifuate whatsapp nitakuelekeza hatua za kufuata. Mimi simalizi yote wala sipo sales department
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom