Toyota landcruiser prado inauzwa

Toyota landcruiser prado inauzwa

Hiyo namba tu ya Whatsapp inaonesha ya Marekani, labda Los Angeles +1 213 285-9631....
 
ok, nilitaka tu kujua kwanza, maana kutupia pesa kwenye akaunti ya mtu inataka moyo!

Nimekuelewa mkuu. Mimi sipokei malipo yoyote, wewe ukiipenda tu nifuate whatsapp kuna jamaa nitakuunganisha nao na hatua zote zinafuatwa. Asante na karibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom