Naomba ushauri nina-plan ya kununua Toyota land cruiser series ya 100 used hapa bongo ushauri wenu wakuu
Hii ndo my dream Car ila Sina uwezo wakuagiza from pajan
Naomba ushauri nina-plan ya kununua Toyota land cruiser series ya 100 used hapa bongo ushauri wenu wakuu
Hii ndo my dream Car ila Sina uwezo wakuagiza from pajan
Ukipata ya diesel hasa 1HZ na unajua kutunza gari, itakuwa poa sana. Japo 1HD FTE bado unaweza kuishi nayo vizuri.
Ya petrol ni nzuri upande wa maintanance. 1UZ haina shida ndogo ndogo kama imetunzwa vizuri. Sasa sana ni kubadilisha timing belt tu kila baada ya km kadhaa. Japo lita moja ni kati ya 5 to 8km
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.