Jumaaofficial JF-Expert Member Joined Oct 12, 2017 Posts 250 Reaction score 210 Nov 15, 2017 #21 Sijaona gari zuri hata moja Ngoja wenye gereji wapate Risk zao
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,528 Reaction score 6,937 Nov 15, 2017 #22 Shark said: Naona mnataka kumuungisha na gereji awe mteja wa kudumu, haya bana Click to expand... mkuu huna dili la hilux d4d, manual 2012 yom 2.5L? inahitajika
Shark said: Naona mnataka kumuungisha na gereji awe mteja wa kudumu, haya bana Click to expand... mkuu huna dili la hilux d4d, manual 2012 yom 2.5L? inahitajika
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,590 Reaction score 6,957 Nov 15, 2017 #23 ttttt said: View attachment 627638 Click to expand... Ya mwaka gani iyo mkuu? Price yake ikoje? Engine yake ni 1HZ??
ttttt said: View attachment 627638 Click to expand... Ya mwaka gani iyo mkuu? Price yake ikoje? Engine yake ni 1HZ??
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,590 Reaction score 6,957 Nov 15, 2017 #24 Emilias G said: Habari zenu wote? Nahitaji kunununua gari tajwa hapo juu, iwe ni macho panzi yenye dash board ndogo na iwe kwenye hali nzuri. Kama unayo njoo PM Asante. Click to expand... Mkuu ulipata Land Cruiser?
Emilias G said: Habari zenu wote? Nahitaji kunununua gari tajwa hapo juu, iwe ni macho panzi yenye dash board ndogo na iwe kwenye hali nzuri. Kama unayo njoo PM Asante. Click to expand... Mkuu ulipata Land Cruiser?
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,522 Reaction score 14,005 Nov 16, 2017 Thread starter #25 Ndio mkuu!
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,986 Reaction score 30,179 Nov 16, 2017 #26 Saju b said: mkuu huna dili la hilux d4d, manual 2012 yom 2.5L? inahitajika Click to expand... Sina Mkuu wangu
Saju b said: mkuu huna dili la hilux d4d, manual 2012 yom 2.5L? inahitajika Click to expand... Sina Mkuu wangu