Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Wajapan hakuna kitu-alisikika mlevi mmoja aliyekunywa viroba vya diamond huku akichanja Gomba.

Mamamae 😂😂😂😂,chuma hicho.
Waache waponde tu, jamaa ameamua kurudisha heshima yake ambayo watu walimpora na kujitapa kuwa gari zake ni za wastaafu!
 
Lakini mkuu hebu tufungueni macho maana wangine sie tunayapanda sana ila tunaendeshwa tu hatujui lolote kuhusu hizi gari.

Hizi V8 series 200 mnazozijadili hapa maana Kuna zx, vx,vxr,gxr hapa unakuta Kuna zingine mfano zx hizi nyingi 180kph na Vxr 260kph je ! Hapo ipi ni Bora na ipi yenye nguvu zaidi na vipi kwa upande wa luxury na uvumilivu hasa road korofi??
ZX ni petrol engine ni 1UR-FE HP-318 ila pamoja na horse power hiyo bado dashboard inasoma 180kph!

Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
 
Sasa sijui hili dude likija tutalipa also known as gani?! Maana 200 series ilibamba kama "kilimo kwanza" tukamalizia na "Vieiti". Hii Visiksi" haitonoga kabisa.
 
IMG_20210610_104535.jpg
IMG_20210610_104609.jpg
IMG_20210610_104644.jpg

Mie hadi huwa naumwa nikiliwazia hili dude
 
Back
Top Bottom