Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

mimi naona ni dereva kakanyaga mafuta mengi , bora hata angeegemea ngema asingepigwa U turn
kuna member kasema Subaru AWD inapandisha hapo kwenye mfinyanzi
L/C hata kichanga haiwezi sembuse mfinyanzi
wapo wababe wanapanda na kuzima moto
View attachment 1779116
Hii kitu unaenda na kurudi bila wasi wasi.. 😎😎 TO 360 na HP 230...0
29-photo-toyota-land-cruiser-70-series.png
 
What special do you expect from a practical vehicle...Wings?
Anashindwa kuelewa offroad haihitaji maumeme mengi wala ma gizmo ya ajabu ajabu. Lc ni offroader gari ya mtu anayezamia msitumi miaka na miaka durable and practicle.

Wa arabu wenyewe wanasema ukitaka offroader ya kukupeleka msituni chukua otherbrands ila ukitaka offroader ya kukupeleka msituni na kurudi chukua cruiser

Wenyewe top gear ya kina clarkson walikua na hilux ipo kama ukumbusho wa the indestructible car....
That should say something about toyotas
 
Anashindwa kuelewa offroad haihitaji maumeme mengi wala ma gizmo ya ajabu ajabu
Lc ni offroader gari ya mtu anayezamia msitumi miaka na miaka durable and practicle...
Kuliwahi kuwa na mjadala wakati fulani , kwamba kwa nini maharamia , waasi na makundi mengi yanayofanya akward mission walikua wanatumia Toyota brands .

mostly hilux na land cruisers, Jibu rahisi lilikuwa ni uhakika wa Toyota , hata UN, ambayo ni purely American, wanapitaka kwenda kwenye mission ngumu ngumu , ,zenye vita na njaa theyll defenetely buy a Toyota
 
Je hiyo 3.3 L V6(diesel)ikiwekwa kwenye coaster inaweza kuwa na power kuliko coaster ya 4.2L with turbo au rosa 4m yenye displacement ya 4.9L au body lina-matter?
Rosa 4m series ziko mara mbili
4m 50 hii ni turbocharged na ni cc4900
4m51 , hii ni natural aspirated na mi cc 5200, hizi nazo zimekuja mara mbili , kuna ya 140hp na 155hp ,
The 4.2 Ihd bado ina outsmart 4m series zote , kwa experience yangu ila nahisi 3.3 v6 itakuwa juu ya zote hizo, mind you inakuja na twin turbo zote vgt
Bado sijaona power torque graph figures ila im sure ni za juu
 
Rosa 4m series ziko mara mbili
4m 50 hii ni turbocharged na ni cc4900
4m51 , hii ni natural aspirated na mi cc 5200, hizi nazo zimekuja mara mbili , kuna ya 140hp na 155hp ,
The 4.2 Ihd bado ina outsmart 4m series zote , kwa experience yangu ila nahisi 3.3 v6 itakuwa juu ya zote hizo, mind you inakuja na twin turbo zote vgt
Bado sijaona power torque graph figures ila im sure ni za juu
Uko vizuri mkuu ila suala la nani mbabe kati ya coaster 1hd...na rosa 4m..naona liko kikinzani sana kila upande ukidai uko juu ya mwingine japo mimi huwa naona hd kama ziko vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom