Toyota ISTs on Sale

No#T275 CVY, imetembea KM 2,292 tu!

1. Gari yako imesajiriwa na mteja anataka isiyo na usajiri..

2. Usajiri wake ni CVY kwahio imetembea Bongo zaidi ya 3months tayari.

3. Umechezea km, sidhani kama gari imekuja na mileage hizo. Kwa gari ya mwaka 2005 huwezi kupata gari imetembea km hizo, let alone gari ishatumika Bongo tayari.

Kwahio sidhani kama huyo mteja wangu atakubali gari yako labda uweke picha inaweza mvutia.
 


Reg: T275CVY
YEAR :2005

KM :2,292 Ilikuja na kilometa chache sana,na inatumika kwa nadra sana na ndo maana KM zake ni chache
Tyres: sport rims
Insurance:
compressive
PRICE 9.5M
Contact: 0755 927881 (whatsap)
 

Kila mtu anaagiza gari Siku hizi,ujanja ujanja tuu huu


Sent from my iPad using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…