ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,546
- Thread starter
- #21
Viber=Uber??
Tax=Taxi
Uber tax 'typing error"
Viber=Uber??
Tax=Taxi
Nimeishi Tokyo ,Yokohama na Nagoya niliacha baiskeli yangu morethan 2 days nyakati tofauti na nilizikutaMajiji makubwa ya Japan ukifika ndo utajua kuwa Wajapan ni wachumi kiasi gani wengi wao wanatumia baiskeli kwenda kwenye vituo vya train na kuna parking maalumu za baiskel ambapo masaa mawili ni free lakini baada ya hapo baiskeli inalocking na unatakiwa kulipia na hakuna muhudumu ni self service
Na pia wengi wa wajapan wanatumia madogo zaidi ya hata hizo vitz zako kwenye majiji yao na ambazo ziko chini sana kutoka katika lami zao ambazo hakuna matuta.