Toyota IST, Vitz na Passo zaongezeka kwa kasi ya ajabu mitaani

Majiji makubwa ya Japan ukifika ndo utajua kuwa Wajapan ni wachumi kiasi gani wengi wao wanatumia baiskeli kwenda kwenye vituo vya train na kuna parking maalumu za baiskel ambapo masaa mawili ni free lakini baada ya hapo baiskeli inalocking na unatakiwa kulipia na hakuna muhudumu ni self service

Na pia wengi wa wajapan wanatumia madogo zaidi ya hata hizo vitz zako kwenye majiji yao na ambazo ziko chini sana kutoka katika lami zao ambazo hakuna matuta.
Nimeishi Tokyo ,Yokohama na Nagoya niliacha baiskeli yangu morethan 2 days nyakati tofauti na nilizikuta
Sijuwi ni mji gani huo ukikaa 2hrs hujaitoa inapigwa lock

Vigari vyao ni vidogo
1.Sababu za kiuchumi
2.Barabara za mitaani kwenda kwenye vijumba vyao
3.Parking pia kwa kuwa wanamaeneo madogo
 
Usafiri sikuhizi umekuwa ni basic needs na siyo luxury kama watu wanavyochukulia. Kuna watu wamepaki double cabin nyumbani za kuendea miradi pwani na moro halafu wanaendesha IST kuendea mishe nyingine mjini au kazini. Hata miji mingi mikubwa duniani ukiondoa nchi kama Marekani asilimia kubwa ya magari mjini ni hizi tunazoita baby walker na hii ni kutokana na gharama za mafuta na parking area kuwa ndogo na ghali. Wengine wanahama toka magari yanayotumia fossil fuels(diesel, petrol) kwenda electrical na solar powered vehicle ambayo ni vigari vidogovidogo
 
Kuna muhindi kanunua 100 kawapa madereva wafanye biashara ya Uber
 
Back
Top Bottom