Hii gari nzuri. Bei yake ikoje kwa yard za bongo na kama Utaagiza Japan .???Wakuu,
hii gari nimeielewa sana kuanzia muundo wake wa nje, ndani naperformance yake...
nimeona ya 2WD(inayovuta mbele) inakwenda 100KM kwa 4.7L na ile ya AWD(mbele na nyuma) inatembea 100KM kwa 5.5L
ktk toleo la hizi gari zipo za aina mbili zile za diesel ambazo ni Manual, na zile za petrol ambazo Auto.
Zile za petrol nimeziona zikiwa zimefungwa engine za 1NZ zenye VVTi kitu ambacho kwangu mimi naziona zimequalify ktk situation ya uchumi wetu wa sasa hasa kwa sisi wenye vipato vya kawaida.
Tofauti ya gari hii na Toyota T.i (saloon) kwangu mimi ni kwenye boot gari zenye boot nje kwakweli zimekuwa zikinipa wkt mgumu sana mana wakati huohuo nilkuwa natafuta mbadala wake ktk gari zenye boot ndani (Hatchback) inayokaribiana kiviwango.
Toleo hili lipo tofauti sana na lile la mwanzo, wanasema............
It slots below the Toyota RAV4 to compete against small crossover SUVs like the Nissan Qashqai and Kia Soul, while also attracting buyers of mainstream family hatchbacks.
Hebu tuitazame ktk picha.
KWA YARD ZA BONNGO NI 26M HAPO ILA UKIAGIZA NA KAMPUNI YETU UTAPATA KWA 22MILLIONHii gari nzuri. Bei yake ikoje kwa yard za bongo na kama Utaagiza Japan .???
Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...KWA YARD ZA BONNGO NI 26M HAPO ILA UKIAGIZA NA KAMPUNI YETU UTAPATA KWA 22MILLION
Japanese Used Cars Stock List | Autocom Japan

Mmh!! Inaweza ikawa mbovu!!Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...
Ushuhuru wa hii kitu kwenye kikokotozi cha TRA kinasoma 5,236,588 kodi ya magufuli.
Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200
Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...

Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200 ...
Kuna moja inauzwa dola 3147
Ambayo ni sawa na 6,851,019Tsh + 5,236,588 TRA= 12,087,607 Tsh.
Dah!kwa bei hyo wengi wangenunua hizo mpya kuliko zile za mwanzo!hHata mimi nijuavyo hizo gari 20+ m.Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...
Ushuhuru wa hii kitu kwenye kikokotozi cha TRA kinasoma 5,236,588 kodi ya magufuli.
Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200
Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...
Ushuhuru wa hii kitu kwenye kikokotozi cha TRA kinasoma 5,236,588 kodi ya magufuli.
Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200 ...
Kuna moja inauzwa dola 3147
Ambayo ni sawa na 6,851,019Tsh + 5,236,588 TRA= 12,087,607 Tsh.
Mkuu hebu fafanua isijekuwa mimi ndiyo sielewi... Ina mana used ndiyo hiyo bei 20ml+Dah!kwa bei hyo wengi wangenunua hizo mpya kuliko zile za mwanzo!hHata mimi nijuavyo hizo gari 20+ m.
Ndio mkuu ni used sio brand new!ila endelea kufanya utafiti!Mkuu hebu fafanua isijekuwa mimi ndiyo sielewi... Ina mana used ndiyo hiyo bei 20ml+
Sizungumzii new brand nataka kujua bei ya mtumba from japan to dsm mpk barabarani je ni kwa bei hiyo kweli???
Nifahamishe please.
Si kweli, hapo umeweka cha juu. Millions 12 ni sawa.Ndio mkuu ni used sio brand new!ila endelea kufanya utafiti!
haya mkuu ila kwa bei hiyo basi hizi old model zitakuwa hazina soko maana unaongeza hela kidogo tu unapata hii new model!Si kweli, hapo umeweka cha juu. Millions 12 ni sawa.
Nahisi unaongelea gari tofauti, mambo ya toyota hayo unachanywa na muundo lakini hii ni toyota urban cruiser. Na sio ISTSi kweli, hapo umeweka cha juu. Millions 12 ni sawa.
Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...
Ushuhuru wa hii kitu kwenye kikokotozi cha TRA kinasoma 5,236,588 kodi ya magufuli.
Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200
Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...
Ushuhuru wa hii kitu kwenye kikokotozi cha TRA kinasoma 5,236,588 kodi ya magufuli.
Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200 ...
Kuna moja inauzwa dola 3147
Ambayo ni sawa na 6,851,019Tsh + 5,236,588 TRA= 12,087,607 Tsh.
Hawa jamaa wanaoagizia watu magari wanapiga sana watu..Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...
Ushuhuru wa hii kitu kwenye kikokotozi cha TRA kinasoma 5,236,588 kodi ya magufuli.
Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200
Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...
Ushuhuru wa hii kitu kwenye kikokotozi cha TRA kinasoma 5,236,588 kodi ya magufuli.
Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200 ...
Kuna moja inauzwa dola 3147
Ambayo ni sawa na 6,851,019Tsh + 5,236,588 TRA= 12,087,607 Tsh.
Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...
Ushuhuru wa hii kitu kwenye kikokotozi cha TRA kinasoma 5,236,588 kodi ya magufuli.
Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200
Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...
Ushuhuru wa hii kitu kwenye kikokotozi cha TRA kinasoma 5,236,588 kodi ya magufuli.
Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200 ...
Kuna moja inauzwa dola 3147
Ambayo ni sawa na 6,851,019Tsh + 5,236,588 TRA= 12,087,607 Tsh.
Hapo ndipo ninaposhangaaga vipi kuhusuUmeangalia Vibaya mkuu.... hizo bei zake ni 20M+
Cc 750?hamna kitu kama hicho mkuu.Hapo ndipo ninaposhangaaga vipi kuhusu
Cc ya hii gari? Mana ina cc ndogo iweje iruke mpk 20m+
Model hiyo ujue ni ya siku nyingi imetoka zaidi ya miaka 10 now.. kama ni uchakavu mbona bei juu?
Kwa bei hiyo bora uchukue harrier ya 2002 yenye cc 2360 yenye mzigo wa vvti ama rav4 milango 5 cc750 yenye vvti pia..