middo JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 207 Reaction score 56 Oct 29, 2015 #1 Habar wadau nina mil 7.5, natafuta gari aina ya toyota IST mwenye nalo na analiuza naomba tuwasiliane kwa namba 0718267085. Gari iwe kwenye condition nzuri na namba iwe kuanzia C, rangi nyeusi itakuwa vizuri zaidi.
Habar wadau nina mil 7.5, natafuta gari aina ya toyota IST mwenye nalo na analiuza naomba tuwasiliane kwa namba 0718267085. Gari iwe kwenye condition nzuri na namba iwe kuanzia C, rangi nyeusi itakuwa vizuri zaidi.
Disposal JF-Expert Member Joined Oct 22, 2013 Posts 285 Reaction score 78 Oct 29, 2015 #2 Kwa hiyo hutopata Labda ujiongeze au utapata mkweche ungejiongeza Kama 1.5 no C karibia na D ni Dark blue anatembelea Dada yangu haijafika hata 100Kb kiufupi mpyaaa
Kwa hiyo hutopata Labda ujiongeze au utapata mkweche ungejiongeza Kama 1.5 no C karibia na D ni Dark blue anatembelea Dada yangu haijafika hata 100Kb kiufupi mpyaaa