Toyota IST inatakiwa

Toyota IST inatakiwa

middo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
207
Reaction score
56
Habar wadau nina mil 7.5, natafuta gari aina ya toyota IST mwenye nalo na analiuza naomba tuwasiliane kwa namba 0718267085.

Gari iwe kwenye condition nzuri na namba iwe kuanzia C, rangi nyeusi itakuwa vizuri zaidi.
 
Kwa hiyo hutopata Labda ujiongeze au utapata mkweche ungejiongeza Kama 1.5 no C karibia na D ni Dark blue anatembelea Dada yangu haijafika hata 100Kb kiufupi mpyaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom