Yule wa Namba D hivi ilikuwa ni 9.7M na ni IST ya 2005. Mmmh hivi vigari hivi sijui. Ngoja niisake tena ile thread
Kumbe ni link sio lin.....ndoroboiii
picha please
Ngj nkupigie sm tuzungumze maana nna mteja mmjaGali tajwa ipo sokoni
in cc 990
km 180000
mwaka 2006
iko katika hari nzuri
bei 4.5m(maongezi yapo)
call 0783380123
View attachment 266753View attachment 266752