Toyota ist for sale in Dar

Toyota ist for sale in Dar

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Anti-Lock Brakes / Driver Airbag / Passenger Airbag / Power Windows / Rear Window Defroster / Rear Window Wiper / Tinted Glass / A/C:front / Power Steering / Tilt Wheel / AM/FM Stereo / CD Player / Power Door Locks / Power Mirrors / Exterior Color Pearl White!
5door!CD Player!Tinted Glass!

No accidents

Year: 2003
Transmission: Auto
Fuel: Gasolini/petrol
Mileage: 42600

Price: 11,500,000

Contact: 0769142586

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • 01w.jpg
    01w.jpg
    29.7 KB · Views: 611
  • 02.jpg
    02.jpg
    29.2 KB · Views: 629
  • 03.jpg
    03.jpg
    32.8 KB · Views: 336
  • 04.jpg
    04.jpg
    31 KB · Views: 248
  • 05.jpg
    05.jpg
    28.6 KB · Views: 604
Si bola nikanunie toyota passo na chenji itabaki ya kununua kiwanja!! 11.5ml looh, alafu rangi nyeupe bola ingekua black

Aliyekuambia ni lazima ununuwe hii ni nani? aliyekuambia rangi ikiwa nyeupe haiwezi kuwa nyeusi ni nani?

kanunuwe kiwanja kwanza kabla ya kuwaza kununua gari.

Pia jifunze kuandika, neno bola halipo kwenye lugha ya kiswahili.
 
Nisamehe mkuu nilikua kwenye utani tu, huwa napenda sana utani ata kama upo serious
 
aliyekuambia ni lazima ununuwe hii ni nani? Aliyekuambia rangi ikiwa nyeupe haiwezi kuwa nyeusi ni nani?

Kanunuwe kiwanja kwanza kabla ya kuwaza kununua gari.

Pia jifunze kuandika, neno bola halipo kwenye lugha ya kiswahili.

unauza bidhaa yako/zako la suala zima la kastama kea kama linakutatiza kidogo...hayo majibu unayomjibu mteja wako unadhani kesho akisikia ndugu yake anahitaji ist atamleta kwako?....kuwa mfanyabiashara kidogo.
 
mimi siyo dalali

kwani dalali ni nani?...hata "mfanya-biashara mkubwa" anakuwa dalali wa kiwanda kinachozalisha kwa maana ya kuwa akinunua kitu kwa bei ya kiwandani anauza kwa kuongeza chajuu/kamisheni yake...so bado huo unaoufanya unaitwa udalali...in its simplified definition.
 
unauza bidhaa yako/zako la suala zima la kastama kea kama linakutatiza kidogo...hayo majibu unayomjibu mteja wako unadhani kesho akisikia ndugu yake anahitaji ist atamleta kwako?....kuwa mfanyabiashara kidogo.

Nimekuelewa mkuu.
 
Aliyekuambia ni lazima ununuwe hii ni nani? aliyekuambia rangi ikiwa nyeupe haiwezi kuwa nyeusi ni nani?

kanunuwe kiwanja kwanza kabla ya kuwaza kununua gari.

Pia jifunze kuandika, neno bola halipo kwenye lugha ya kiswahili.

Hahahahahahahah
Dadeq.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom