Jeff
JF-Expert Member
- Sep 26, 2009
- 1,293
- 202
Ndugu gari huwa hazitafutiwi soko hivyo, weka japo specification zake kidogo, ngoja nikurahisishie swali:-
1. Ya mwaka gani?
2. Harrier model ipi?
3. Ina nini ndani cha kuvutia! radio, TV, CD player etc.
4. Engine aina gani au ina CC ngapi?
Na vitu kama hivyo, siyo unauza kama unapiga debe kwenye daladala!
Ahaha ha haha! Kijana hayuko siriaz akajipange upya!