Toyota Hurrier ndio model gani mbona sijawahi kusikia?
Iko katika hali nzuri bei nzuri mwenye nia nipm
Iko katika hali nzuri bei nzuri mwenye nia nipm
Tehtehteh ndo mmenishtua iyo ni spelling mistake bwana khaaa. .
Ndo mana nimesema mwenye nia iam serious ndo mana sina haja ya kuremba sana mmezoea kudanganywa na ving'aravyo visivyo dhahabu! Kwa ufupi cc elf2153 4cylinder haili kiwese sana. .. Mwaka 1998 well maintained ni kubadilisha mazingira tu vinginevyo bado naifurahia barabarani sina muda wa kuremba sana mwenye nia atajua zaidi. .
..... Kwa ufupi cc elf2153 4cylinder haili kiwese sana. .. . .
..... Kwa ufupi cc elf2153 4cylinder haili kiwese sana. .. . .
Ndugu umeelewa wengine si waandishi sana imekusumbua iyo elfu pembeni? Yani mtu uandike na kuedit si darasani hapa, lakini kwa faida ya wengine ni 2153. . .Mkuu ndio unazidi kunichanganya,
CC ziwe alfu 2153,
yaani 1,000 x 2153 =2,153,000 duh, wadau nisaidieni CC za ndege 737.
Au alikua unamaanisha 2153 tu bila alfu?
Ungesema angalau japo angalau alfu 2.153
Mkuu ndio unazidi kunichanganya,
CC ziwe alfu 2153,
yaani 1,000 x 2153 =2,153,000 duh, wadau nisaidieni CC za ndege 737.
Au alikua unamaanisha 2153 tu bila alfu?
Ungesema angalau japo angalau alfu 2.153
Ndugu gari huwa hazitafutiwi soko hivyo, weka japo specification zake kidogo, ngoja nikurahisishie swali:-
1. Ya mwaka gani?
2. Harrier model ipi?
3. Ina nini ndani cha kuvutia! radio, TV, CD player etc.
4. Engine aina gani au ina CC ngapi?
Na vitu kama hivyo, siyo unauza kama unapiga debe kwenye daladala!