FLASH HIDER
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 397
- 508
Ndugu zangu gari aina ya toyota hilux double kibin inatakiwa. Kama unayo ikiwezekana weka na bei kbs
Ndugu zangu gari aina ya toyota hilux double kibin inatakiwa. Kama unayo ikiwezekana weka na bei kbs
Dah, kwa hiyo mkuu labda utafuta hapahapa bongo, ungekuwa na atleast 28M tunafanya mchakato unapata kitu kimesimama vibaya kutoka UK!
View attachment 102628
acha kumdanganya mwenzio hivyo njoo unpm mie utapata nzuri na ya kisasa zaidi kama hiii nilioattach hapa View attachment 102637
Nilichomdanganya ni kipi sasa Mkuu? Kama unauza na wewe sema tu bei yako, siyo unaponda biashara ya mtu, wajasiriamali wa bongo tusiwe hivyo, kama unaweza kusupply kwa cheaper wewe shusha nondo hapo chini haina haja kuni-quote mimi, mimi bei yangu ni 28M, CIF Dar, na inazungumzika! TUFANYENYENI KAZI KWA UPENDO JAMANI, WATEJA WAKO WENGI TU MBONA!
nilikuwa na kupima tu nione uko na jazba au la? kumbe uko na jazba oky usijali lakini ni mambo ya jf haya bhana best sorry
Nilikuwa nakuelewesha tu, jazba sina!..kama nimekukwaza nisamehe! Pamoja.
hii ya kwenye picha naitaka kwa 23m ni-PM kama bei yangu inalipaDah, kwa hiyo mkuu labda utafuta hapahapa bongo, ungekuwa na atleast 28M tunafanya mchakato unapata kitu kimesimama vibaya kutoka UK!
View attachment 102628
Ndugu zangu gari aina ya toyota hilux double kibin inatakiwa. Kama unayo ikiwezekana weka na bei kbs
Nilichomdanganya ni kipi sasa Mkuu? Kama unauza na wewe sema tu bei yako, siyo unaponda biashara ya mtu, wajasiriamali wa bongo tusiwe hivyo, kama unaweza kusupply kwa cheaper wewe shusha nondo hapo chini haina haja kuni-quote mimi, mimi bei yangu ni 28M, CIF Dar, na inazungumzika! TUFANYENYENI KAZI KWA UPENDO JAMANI, WATEJA WAKO WENGI TU MBONA!
Ndugu Najua unahitaji Hilux Double cab, ila kwa budget hiyo TOYOTA NZURI UNAWEZA KUSUBIRI SANA... Kama Vipi Nicheki tufanye biashara kwa MISTUBISHI L200, 2.5cc TURBO DIESEL, IMETOKA LEO BANDARINI, NDIO KWAAANZA NAIBANDIKA NAMBA KESHO... BEI 20m, Picha na maelezo mengine Icheki hapa https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/488696-double-cab-pick-up-just-imported-for-sale.htmlBajeti yangu naanzia 20 M iwe kwenye hali nzuri
bei milioni 12
Bei milioni 12
Bei milioni 12.