Car4Sale Toyota Hilux Double Cabin 2012 2.5L Diesel

Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
2,954
6,328
Wakuu, salaam
Gari ya kampuni inauzwa kwakuwa imeshafikisha miaka 5, mtumiaji tangu imenunuliwa si MTANZANIA, ni MANUAL TRANSMISSION
Rangi Nyeupe
Mileage ni 49000km
Reg ni T2..CHV
Bima inaisha 2018

Haijawahi kupata ajali, kurudiwa rangi.
Safari ya mbali ilienda Mtwara na Kilwa mara moja
Haijawahi ku-SKIP service, imewekwa TAIRI mpya mwezi uliopita
IMG_20170727_140559.png
IMG_20170727_140559.png
IMG_20170727_140608.png
IMG_20170727_140608.png
IMG_20170727_140625.png
IMG_20170727_140652.png
IMG_20170727_140711.png
IMG_20170727_140818.png
IMG_20170727_140930.png
IMG_20170727_140943.png
IMG_20170727_141010.png
IMG_20170727_140943.png
IMG_20170727_151159.png
IMG_20170727_151803.png
IMG_20170727_151919.png
IMG_20170727_151943.png


Bei ya kuuza ni $20,000
Karibuni
 
Dola 20,000 unazungumzia more than 45M,aiseee cha juu umeongeza kikubwa sana buana

ploudly ngosha
Ndugu, ningeweka ngapi? Ndo bei niliyoambiwa, nilishauri bei ipungue ili niichukue mimi wakagoma, nilicheki sehemu nikaona kuitoa Toyota D.Cabin Japan ni $16000 kwa mileage ya 70000km mwaka 2012. Mpya ambayo ofisi inanunua saivi ni $39000.
 
Kiukweli tuna gari mbili, mimi nina single cab, taita ana hiyo D.Cabin, sasa niliomba hii S.Cab iuzwe kisha mimi nipewe hiyo D.Cabin, hii ninayotumia mimi ina 24800km, ila taita kagoma, kasema nisubiri ifike 50000km nipatiwe mpya. Sina maslahi yoyote, ni kwamba mtu anayeitaka nampeleka moja kwa moja kwa taita, ingekuwa hii nitumiayo mimi angalau ningekuwa na maslahi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom