kluger
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,093
- 1,898
Naomba tubadilishane ufahamu juu ya gari za aina hii.
Nahitajj kumiliki moja, naomba kufahamu bei imesimamaje hv sasa kwa used toka Japan au uingereza. Vipi kodi zetu hapa kwa siku za Karibu. Jumla zina gharimu bei gani?
Vipi matumizi yake ya mafuta?
Vipi spare parts Gharama zake?
Anyway kwa ufupi naomba share chochote ukijuacho kuhusu gari hii kwa nia ya ufahamu hasa kwa hapa Tanzania.
Shukrani sana, karibuni.