TOYOTA HARRIER 2005

TOYOTA HARRIER 2005

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
94,710
Reaction score
133,756
Milage 54000
Harrier model ya 2005
Cc 2500
Inauzwa mln 30
Kwa mawasiliano piga sim 0715591141 dar es salama
Karibuni!

Ova
 

Attachments

  • IMG-20170501-WA0048.jpg
    IMG-20170501-WA0048.jpg
    109.5 KB · Views: 100
  • IMG-20170501-WA0049.jpg
    IMG-20170501-WA0049.jpg
    31.3 KB · Views: 74
  • IMG-20170501-WA0050.jpg
    IMG-20170501-WA0050.jpg
    36.1 KB · Views: 85
  • IMG-20170501-WA0051.jpg
    IMG-20170501-WA0051.jpg
    36.2 KB · Views: 76
  • IMG-20170501-WA0052.jpg
    IMG-20170501-WA0052.jpg
    40.1 KB · Views: 86
  • IMG-20170501-WA0053.jpg
    IMG-20170501-WA0053.jpg
    42.6 KB · Views: 87
  • IMG-20170501-WA0054.jpg
    IMG-20170501-WA0054.jpg
    43.9 KB · Views: 71
  • IMG-20170501-WA0055.jpg
    IMG-20170501-WA0055.jpg
    32.6 KB · Views: 72
Mikoani ndiyo nna wadau wengi chief gari inaweza ikawa dar mteja wakawa mkoa biashara ikafanyika tu

Ova
Kuna gari nimeishobokea sana huko home, TOYOTA WiLL, vipi zinapatikana kwa shilingi ngapi? Matatizo yake
 
Kuna gari nimeishobokea sana huko home, TOYOTA WiLL, vipi zinapatikana kwa shilingi ngapi? Matatizo yake
Ni gari imetengezwa vzuri,kwenye ulaji wa wewe iko vizuri,hata vipuri kiasi fulani zinapatikana

Ova
 
30m ni pamoja na registratio, Bima nk? maana naona hata Plate no. bado
 
Ikifika milioni 20 nitafute Aisee. Cash.
 
Usijali ntakustua!uuzaji wa Magari ni moja ya shuguli yangu mkuu

Ova
Nina Harrier model nyuma ya hio. Naweza kupata bei gani nikiiuza? Namba C very well maintained.
 
Nina Harrier model nyuma ya hio. Naweza kupata bei gani nikiiuza? Namba C very well maintained.
Tukipimbana 12 mpaka 13m ntumie picha na spec zake mkuu...na Nipe ofa yako pia

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom