toyota gx 100 inauzwa...... picha zipo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

toyota gx 100 inauzwa...... picha zipo

Discussion in 'Matangazo madogo' started by freemoney, Jun 14, 2012.

 1. freemoney

  freemoney Senior Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  toyota gx 100 inauzwa sh million 9 tu. tuwasiliane 0716-369299

  Na suzuki swift kwa sh 7.5 million.................
  tuwasiliane mapem kwa aneye itaka. pia kuna magari mengine yanauzwa


  suzuki swift kwa 7.5 million


  suzuki swift.jpg

  gx 100 kwa 9 illion tu

  sam_0124.jpg  pia kuna gx 100 mpya kabisa kwa 12 million

  2001 gx 100.jpg
  2000 gx 100 2.jpg
   
 2. SUNGUSIA

  SUNGUSIA JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu sijapendezwa na wewe kufanyia udalali gari yangu.... Ningekuwa nataka dalali ningesema au ningepeleka kwa madalali.

  Ulinnipigia simu na number hii hii ukaniuliza kama ipo na bei sasa naona umekuja kuiweka hapa na umeweka cha juu 1m, kumbuka hizi picha ni mimi nimeweka hapa jamii na bei yangu ni 11m sasa wewe umepata wapi kibali cha kufanyia udalali gari yangu

  gx 100 cresta t 413 caa ni mali yangu please naomba utoe hii mali yangu kwenye tangazo lako.

  Asante.
   
 3. N

  Newvision JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We ni tapeli umemsikia mwenyewe?
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Sijui nimwamini nani kati ya dalali na mwenye mali. Mmoja wapo lazima atakuwa tapeli. Ngastuka!
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Dah! watu wana roho ngumu, alijua dili aje kutangaza JF kumbe mwenye mali ni mkongwe wa JF!..askuharibie jina jirani!
   
 6. freemoney

  freemoney Senior Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  its not like dat bt kulikua na miss understanding dats why
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  FREeMONEY
   
 8. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Who to trust ... ? Within one thread to next one ... Cha Juu 1M??? hha haah ...?/?
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Duh! aibu
   
 10. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  tehe tehe jf ina waliomo na wasiokuwamo. Vibaka pia wamo..... Daaaah!
   
 11. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Angalau mngeweka specs... mwaka gani, mileage, engine size, wheels (4x2, 4x4), vin number, condition yake kama kuna leaks, noticeable dents etc...
   
 12. SUNGUSIA

  SUNGUSIA JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu noma sana yani watu wanafanya mambo kienyeji sana, huwezi kuchukua Mali ya mtu na kuitangaza inauzwa bila kibali. huu ni sawa na wizi.


   
 13. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Aibu mtu mzima umeumbuka, unaunyaunya nini sasa? Hahahaha unaleta U-FREEMONEY wako humu JF.
   
 14. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Tuwe serious na matangazo, tutapoteza imani
   
Loading...