Toyota duet

Toyota duet

molely molly

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
317
Reaction score
30
Niko moshi nina toyota duet iko poa ninataka mlion 3 na nusu tu iko poa imeshalipiwa kila kitu wahi sasa 0767664795
 
Ili uuze gari yako mapema jibu angalau haya:-
1.picha
2.rangi
3.general condition, imeanguka, imegongwa au?
4. Odometer
5. Imezaliwa lin (YOM)
6. Number ya wamiliki
7.Imeingia bongo lin
8.Nk unaweza hata chungulia befoward ukaona wanavyouza ya kwao
 
Weka picha boss tufanye biashara


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
huwa nakeleka sana na watu wasio weka picha na specification nyingine,au wanaotaka niwa-pm,sijui huwa hawajiamini,na huenda hayo magari yanakua ni mabovu,sasa fikiria gari linauzwa mil3.5,alafu hakuna specification yeyote tajwa,mara nyingi ni mabovu ukinunua lazima ukae!
 
Mbna imegongwa upande wa kushoto afu huk nyuma kulia kama bodi imenyooshwa vile
 
Back
Top Bottom