Mkuu me nahitaji Fundi aliyekubuhu kwenye kutengeneza haya ma DCM kwani ninalo langu Garage kosa hawakulijua na imenibidi nilifanyie matengenezo yote ya Engene sasa imekuwa kama kosa vile naona naibiwa tu Nimeanza na Pump,likaja main na cone then Cylinder head ijazwe then ikaja Pump tena kisha nozel yote yameisha naambiwa Cylinder head haikuwa sawa kesho inafunguliwa tena compression hamna mara inapumulia nje.. black fire za kufa mtu kha hadi na mimi nafikiria kuiuza ila sio kama bei yako dah si mchezo 25m? kama naziona vile ukifanikiwa kwa bei hiyo na mimi natangaza... kuuza
Yap ila Mkuu Wahindi wao walikuwa wana jenga body tu kila kitu ni Japan kuanzia Engene14 zile ambazo hazina outo Power Staring pia zinafanana pia kama za kwenye Toyota Coaster au zile Land cruiser za zamani roho ya paka gear box na chassis na taka taka karibu zote ni mjepu India keshaacha kujenga body...
Kuna Duka la Spear za DCM Ilala kila kitu unapata kipya
Uzuri wa DCM zina Shukrani ukilitunza litakulipa na kukuzalia mengine na ni msaada mkubwa kifamilia