Unataka kujua nini? Tuna Crown home zaidi ya miaka.
1. Reliability: Iko poa sana.
2. Vipuli: Vipo kama upo Dar sijui mikoani.
3. Engine: Haina shida, Power hajawaizingua.
4. Common Problems: Kwetu issue kubwa labda suspension kwasababu njia ilikua mbaya. Kama 95% mkeka utaepuka ili tatizo.
Kama huna stress za mafuta na pesa za service, gari kali. Period.